What's Hot

Get Your Website or blog Are you finding a place to design your for your company?
call now...! The slide is a linking image Wadau na viongozi wa Wizara ya Afya Wizara ya afya

Thursday, August 16, 2012

MWINYIBARAKA ISLAMIC FOUNDATION

MWENYEKITI WA MWINYI BARAKA ISLAMIC FOUNATION SHEIKH ISSA OTHOMAN ISSA IMAMU WA MSIKITI WA MAAMURU UPANGA ( WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO) AKIMKABIDHI MSHINDI WA KWANZA WA SHINDANO LA QUR'AN KWA NJIA YA TAJWEED RAJEI AYOB FUNGUO YA PIKIPIKI 

MWINYIBARAKA ISLAMIC FOUNDATION

MSHINDI WA KWANZA RAJEI AYOB AKIWA JUU YA PIKIPIKI ALIOJINYAKULIA MARA BAADA YA KUKABIDHIWA ZAWADI 

MWINYIBARAKA ISLAMIC FOUNDATION WAKITOA ZAWADI

MSHINDI WA PILI YAHAYA HUSSEN AKIKABIDHIWA COMPUTER                NI PILI ANAYECHEKA KWA FURAHA

MWINYIBARAKA ISLAMIC FOUNDATION

WAANDAAJI WA MASHINDANO YA QUR'AN KWA NJIA YA TAJWEED YA  MWINYIBARAKA ISLAMIC FOUNDATION 

MWINYIBARAKA ISLAMIC FOUNDATION

WAUMINI WAKISIKILIZA MASHINDANO YA QUR'AN MSIKITI WA MWANANYAMALA

Total Pageviews