What's Hot

Get Your Website or blog Are you finding a place to design your for your company?
call now...! The slide is a linking image Wadau na viongozi wa Wizara ya Afya Wizara ya afya

Sunday, October 14, 2012

WWF Sweden'd annual environmental prize, Jhde award

Tanzania conservationist and anti-poaching activist-Venance Bruno Toss has been rewarded with WWF Sweden's annual environmental prize, Jihde award.
Kutoka kushoto , Kamanda mstahafu  Venance Bruno Tossi, Katibu mkuu wwf-sweden Hakan Wirten , Mke  Kamanda Tossi, Mkurugenzi wa wanymapori Paul Sarakikya, Waziri maliasili na utalii Balozi Hamis Kagasheki, Mwenyekiti Tanzania Helena Motta, Mwenyekiti pwani ya Africa Mashariki Peter Scheren








Monday, October 8, 2012

NTD CHAMPION AWARD presented to Dr. Mwele Malecela



NTD CHAMPION AWARD presented to Dr. Mwele Malecela
 In Recognition of 
Exeptional Leadership and Commitment to
the Fight Against Neglected Tropical Deseases


Dr. Mwele Malecela.



           Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)Dkt. Mwelecele Malecela (aliyeshika tuzo katikati) ,akiwa na watumishi wenzake wa NIMR.





Sunday, October 7, 2012

.Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)

 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)Dkt. Mwelecele Malecela (aliyeshika tuzo katikati) ,akiwa na watumishi wa NIMR mara baada ya kurejea katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam jana,kutoka Washington DC, Marekani ambako hivi karibuni  alitunukiwa tuzo ya NTD Champion Award,kufutia juhudi zake kubwa na kujituma katika kudhibiti na kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (Neglected Tropical Diseases).(Picha kwa Hisani ya NIMR)

Total Pageviews