What's Hot

Get Your Website or blog Are you finding a place to design your for your company?
call now...! The slide is a linking image Wadau na viongozi wa Wizara ya Afya Wizara ya afya

Thursday, September 6, 2018

ZIARA YA WAZIRI MKUU MH.KASSIM MAJALIWA NCHINI CHINA


 WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA JENGO LA MAKUMBUSHO LA SEA WORLD CULTURE AND ARTS CENTRE, SHENZHEN NCHINI CHINA, Septemba 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA OFISI KUU YA KAMPUNI YA HUAWEI TECHNOLOGIES ILIYOPO SHENZHEN NCHINI CHINA, Septemba 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MEYA WA SHENZHEN NCHINI CHINA, Septemba 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews