What's Hot

Get Your Website or blog Are you finding a place to design your for your company?
call now...! The slide is a linking image Wadau na viongozi wa Wizara ya Afya Wizara ya afya

Friday, November 30, 2012

Mimi's Collection

MIMI'S IPO GOLDEN JUBELEE TOWER KARIBU NA PPF GOROFA YA KWANZA MAWASILIANO +255756887777 KARIBUNI SANA KWA HUDUMA NZURI

Amana Banki yazinduliwa rasmi

Benki ya kwanza ya Tanzania inayo fuata sharia ya Kiislam Kimamilifu....Mwenye kiti bodi ya miko ndugu haruni imesajiliwa rasmi tarehe 25/02/2011 Ikiwa na mtaji Shiringi za Kitanzania Bilioni 100 Na uliolipiwa kiasi cha shilingi za Kitanzania Billiomi 21.5" Kwamda wa mwaka mmoja imefungua Matawi Matatu Jiji Dar Es Salaam..Tandamti Karikoo/ Nyerere Road Branch Iliyopo Barabara ya Nyerere. Na Main Branch katika Jengo Golden Jubilee Tower Wanatoa huduma za Amana kwa makampuni na watu binafsi Acount ya watoto ( Nuru Acount) Acount ya Wanawake (Annisa Acount) Na Akiba kwa ajili ya nyumba za ibada....Acount ya Hija ( Hajj Akaunt Mpaka Nevember 25 Mwaka Huu Imefanikiwa kuwa na Acount 4093 na Akiba zaidi ya Shiring Billioni 35 Alisema mwekiti bwana Haroon Pirmohamed Mwaka 2013 watafungu Arusha na Mwanza.

Total Pageviews