MIMI'S IPO GOLDEN JUBELEE TOWER KARIBU NA PPF GOROFA YA KWANZA MAWASILIANO +255756887777 KARIBUNI SANA KWA HUDUMA NZURI
Friday, November 30, 2012
Amana Banki yazinduliwa rasmi
Benki ya kwanza ya Tanzania inayo fuata sharia ya Kiislam Kimamilifu....Mwenye kiti bodi ya miko ndugu haruni imesajiliwa rasmi tarehe 25/02/2011
Ikiwa na mtaji Shiringi za Kitanzania Bilioni 100 Na uliolipiwa kiasi cha shilingi za Kitanzania Billiomi 21.5" Kwamda wa mwaka mmoja imefungua Matawi Matatu Jiji Dar Es Salaam..Tandamti Karikoo/ Nyerere Road Branch Iliyopo Barabara ya Nyerere. Na Main Branch katika Jengo Golden Jubilee Tower
Wanatoa huduma za Amana kwa makampuni na watu binafsi Acount ya watoto ( Nuru Acount) Acount ya Wanawake (Annisa Acount) Na Akiba kwa ajili ya nyumba za ibada....Acount ya Hija ( Hajj Akaunt Mpaka Nevember 25 Mwaka Huu Imefanikiwa kuwa na Acount 4093 na Akiba zaidi ya Shiring Billioni 35
Alisema mwekiti bwana Haroon Pirmohamed Mwaka 2013 watafungu Arusha na Mwanza.
Sunday, October 14, 2012
WWF Sweden'd annual environmental prize, Jhde award
Tanzania conservationist and anti-poaching activist-Venance Bruno Toss has been rewarded with WWF Sweden's annual environmental prize, Jihde award.
Kutoka kushoto , Kamanda mstahafu Venance Bruno Tossi, Katibu mkuu wwf-sweden Hakan Wirten , Mke Kamanda Tossi, Mkurugenzi wa wanymapori Paul Sarakikya, Waziri maliasili na utalii Balozi Hamis Kagasheki, Mwenyekiti Tanzania Helena Motta, Mwenyekiti pwani ya Africa Mashariki Peter Scheren
Monday, October 8, 2012
NTD CHAMPION AWARD presented to Dr. Mwele Malecela
NTD CHAMPION AWARD presented to Dr. Mwele Malecela
In Recognition of
Exeptional Leadership and Commitment to
the Fight Against Neglected Tropical Deseases
Dr. Mwele Malecela.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)Dkt. Mwelecele Malecela (aliyeshika tuzo katikati) ,akiwa na watumishi wenzake wa NIMR.
Sunday, October 7, 2012
.Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)Dkt. Mwelecele Malecela (aliyeshika tuzo katikati) ,akiwa na watumishi wa NIMR mara baada ya kurejea katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam jana,kutoka Washington DC, Marekani ambako hivi karibuni alitunukiwa tuzo ya NTD Champion Award,kufutia juhudi zake kubwa na kujituma katika kudhibiti na kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (Neglected Tropical Diseases).(Picha kwa Hisani ya NIMR)
Friday, October 5, 2012
Sunday, September 30, 2012
Sunday, September 23, 2012
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII MPANGO WA TAIFA WA
KUTHIBITI MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE
DR.HUSSEIN MWINYI ,AKIFUNGUA BOKSI LA MADAWA.
Subscribe to:
Posts (Atom)