What's Hot

Get Your Website or blog Are you finding a place to design your for your company?
call now...! The slide is a linking image Wadau na viongozi wa Wizara ya Afya Wizara ya afya

Monday, July 30, 2012

Sickle Cell Disease Patients Community of Tanzania.

Miaka4 iliyopitaUmojawaMataifaulipitishatarehe 19 Junikuwasikuya Sickle Cell duniani, ilikujengauelewakatikajamiimbalimbalidunianijuuyaugonjwahuu. Mimi ni Arafa Salim Said, nimgonjwawa Sickle Cell. Na pianimwanzishiwaSickle Cell Disease Patients Community of Tanzania. Hiininitaasisiisiyoyakiserikaliyenyelengo la kujengauelewanaufahamujuuya Sickle Cell nchini Tanzania. Nimezaliwanakukuanaugonjwahuumpakahapanilipofikiasasa. Kama watotowenginemnawaonahapa, nimepitiamaumivuambayowatotowenginewenyeugonjwahuuwamepitia. Kama watotohawa, nimelazwakwenyewodihii, nimepotezafahamukwasikukadhaanapianimepatakiharusi (stroke). Sickle Cell (SC) niugonjwaunaokuwanchini Tanzania nawaathirikawenginiwatoto. Watotowengiwenye Sickle Cell wamepatakiharusiangalaumaramojakatikamaishayao. Wenginezaidiyamaramoja. Gharamazamatibabunauangaliziwawagonjwawa Sickle Cell zikojuunahivyohuzifanyafamilianyingikushindwakumudugharamahizo. Gharamazauchunguziwaawalinikiasi cha ShilingizaKitanzanialakimoja. Vile vilekunagharamambalimbalikamadawa, kuwahudumiawagonjwawanapokuwanyumbaninapiawanapolazwahospitalini. Ukubwawagharamaumesababishawatotowengikudumaa, kupataulemavunawenginekupotezamaishakatikaumrimdogo. Sisikamajamii tuna wajibumkubwakuhakikishakuwatunawasaidiawatotohawa. Kama nilivyoelezahapoawalileonisikuyaSickle Cell duniani. Tumechukuafursahiikuanzishakampeniyamwakammojayenyelengo la kusaidiawatotowanaoishina Sickle Cell. SCD Patients Community of Tanzania itafanyashughulimbalimbalikwaajiliyakuchangishafedhaambazozitatumikakulipagharamazauchu nguziwaugonjwahuukwawatoto. Tunawaombawatanzaniawaunganenasikatikakuchangishafedhahizi. Pamojanakuchangishafedha, SCD Patients Community of Tanzania inawaombawatanzaniakusaidiawatotohawakwanjiambalimbalikama vile:- - Kuchangiadamu - Kulipiagharamazauchunguziangalaukwamtotommoja - Viongozikatikangazimbalimbalikuongelea Sickle Cell nakujengauelewakwajamii. - Walimu: KuelimishawatotojuuyaSickle Cell ilikuondoaunyanyapaakwawatotowenye Sickle Cell katikajamii. - Jamiikwaujumla:Tunaiombajamiikusomanakupatauelewajuuya Sickle Cell. Mwishotunatoawitokwajamiinzimayawatanzaniakunyooshamkononakusaidiakuwapamaisha bora watotowaishiona Sickle Cell. Naopiawanastahilikusihikamawatotowenginenakufikiandotozao. Natangulizashukranizanguzadhatikwauwepowenuhapa. Arafa Salim Said
Mwanzishi / Mwenyekiti

(ALIYE MSHIKA MTOTO ) Sickle Cell Disease Patients Community of Tanzania.

Sickle cell anaemia compaign

MKURUGENZI WA NIBR DR MWELE MWALECELA

MKURUGENZI WA NIBR DR MWELE MWALECELA AKIWA KWENYE PICHA NA RAIS WA JAMUHURI WA MUHUNGANO WA TANZANIA DY JAKAYA MRISHO KIKWETE


Total Pageviews