Miaka4 iliyopitaUmojawaMataifaulipitishatarehe 19 Junikuwasikuya Sickle Cell duniani, ilikujengauelewakatikajamiimbalimbalidunianijuuyaugonjwahuu.
Mimi ni Arafa Salim Said, nimgonjwawa Sickle Cell. Na pianimwanzishiwaSickle Cell Disease Patients Community of Tanzania. Hiininitaasisiisiyoyakiserikaliyenyelengo la kujengauelewanaufahamujuuya Sickle Cell nchini Tanzania.
Nimezaliwanakukuanaugonjwahuumpakahapanilipofikiasasa. Kama watotowenginemnawaonahapa, nimepitiamaumivuambayowatotowenginewenyeugonjwahuuwamepitia. Kama watotohawa, nimelazwakwenyewodihii, nimepotezafahamukwasikukadhaanapianimepatakiharusi (stroke).
Sickle Cell (SC) niugonjwaunaokuwanchini Tanzania nawaathirikawenginiwatoto. Watotowengiwenye Sickle Cell wamepatakiharusiangalaumaramojakatikamaishayao. Wenginezaidiyamaramoja.
Gharamazamatibabunauangaliziwawagonjwawa Sickle Cell zikojuunahivyohuzifanyafamilianyingikushindwakumudugharamahizo. Gharamazauchunguziwaawalinikiasi cha ShilingizaKitanzanialakimoja. Vile vilekunagharamambalimbalikamadawa, kuwahudumiawagonjwawanapokuwanyumbaninapiawanapolazwahospitalini. Ukubwawagharamaumesababishawatotowengikudumaa, kupataulemavunawenginekupotezamaishakatikaumrimdogo. Sisikamajamii tuna wajibumkubwakuhakikishakuwatunawasaidiawatotohawa.
Kama nilivyoelezahapoawalileonisikuyaSickle Cell duniani. Tumechukuafursahiikuanzishakampeniyamwakammojayenyelengo la kusaidiawatotowanaoishina Sickle Cell. SCD Patients Community of Tanzania itafanyashughulimbalimbalikwaajiliyakuchangishafedhaambazozitatumikakulipagharamazauchu
nguziwaugonjwahuukwawatoto. Tunawaombawatanzaniawaunganenasikatikakuchangishafedhahizi.
Pamojanakuchangishafedha, SCD Patients Community of Tanzania inawaombawatanzaniakusaidiawatotohawakwanjiambalimbalikama vile:-
- Kuchangiadamu
- Kulipiagharamazauchunguziangalaukwamtotommoja
- Viongozikatikangazimbalimbalikuongelea Sickle Cell nakujengauelewakwajamii.
- Walimu: KuelimishawatotojuuyaSickle Cell ilikuondoaunyanyapaakwawatotowenye Sickle Cell katikajamii.
- Jamiikwaujumla:Tunaiombajamiikusomanakupatauelewajuuya Sickle Cell.
Mwishotunatoawitokwajamiinzimayawatanzaniakunyooshamkononakusaidiakuwapamaisha bora watotowaishiona Sickle Cell. Naopiawanastahilikusihikamawatotowenginenakufikiandotozao.
Natangulizashukranizanguzadhatikwauwepowenuhapa.
Arafa Salim Said
Mwanzishi / Mwenyekiti
(ALIYE MSHIKA MTOTO )
Sickle Cell Disease Patients Community of Tanzania.
No comments:
Post a Comment