What's Hot

Get Your Website or blog Are you finding a place to design your for your company?
call now...! The slide is a linking image Wadau na viongozi wa Wizara ya Afya Wizara ya afya

Sunday, October 7, 2012

.Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)

 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)Dkt. Mwelecele Malecela (aliyeshika tuzo katikati) ,akiwa na watumishi wa NIMR mara baada ya kurejea katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam jana,kutoka Washington DC, Marekani ambako hivi karibuni  alitunukiwa tuzo ya NTD Champion Award,kufutia juhudi zake kubwa na kujituma katika kudhibiti na kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (Neglected Tropical Diseases).(Picha kwa Hisani ya NIMR)

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews