sherehe imefanyika katika ukumbi wa kilimanjaro saba saba
mkurugenzi wa michuzi media group akiwa na mkewe
mr and mrs hamisi makuka
mr and mrs mwingiliko
mr and mrs michuzi wakiwa pamoja na wafanyakazi wa michuzi media group
mrs makuka akiwa na maharus
wachapakazi wakiwa ndan ya suti leo wamegoma kushika kamera
wachapakazi wa michuzi media group
mkueugenzi alistide akifuatilia mitambo harusi ya manywele iende vizuri
mc elen akipozi na maharusi
mkurugenzi wa michuzi media group akipokea keki kwa niaba ya wafanyakazi
mama wa bi harusi akipokea keki
kamati ya harusi ikipokea keki
No comments:
Post a Comment