SHEIKH YUSUPH MOHAMED KIDAGO
doctor Mubarack Awes kutoka Misri
Sheikh Sayyid Ally Hassan wa mombasa
SHEIKH KISIWA WA ARUSHA
- SHEIKH ABDALAH JAMZURI
SHEIKH KIUNGIZA WA ARUSHA
SHEIKH SAMEER NAIBU MUDIR SHAMSU MAARIF TANGA
sheikh yusufu akimpokea sheikh kisiwa wa arusha
sheikh yusufu akimpokea sheikh sayyid Allt Hassan wa mombasa
msafala wa piki piki zipatazo kama 50 kutoka lushoto zikiwasili hedalu katika maulidi ya kuzaliwa mtume s.aw
sheikh yusufu akikaribisha msafala wa pikipiki nyumbani kwake hedaru wilaya ya same mkowa wa kilimanjaro
sheikh yusufu akiwa na juma kaseja golikipa namba moja baada ya mechi yakirafiki vijana wa magomeni wa sheikh yusufu kuwafunga wenyeji timu ya hedalu goli 2 -0
sheikh yusufu akiwa na hassani kweka
sheikh yusufu akiongoza zafa kama unavyoona hedaru ilifulika watu kutoka kila sehemu ndani ya tanzania na nnje ya nnchi
dr mubarack na sheikh sayyid ally wakiangalia umati wa watu kwenye zafa
kutoka misrisheikh yusufu akitowa mawaidha katika naulidi hedarlu
dr mubarack Awes kutoka misri aitowa mawaidha katika maulidi hedalu
No comments:
Post a Comment