Bill Gates akiwa na mratibu wa Mpango Dr Upendo Mwingira (Kulia kwake) na Mganga Mkuu wa Mkoa Dr Aisha Mahita na Kaimu Maganga Mkuu wa Muheza!Kushoto kwake ni wadau kutoka Shirika lisilo la kiserikali la IMA world health Dr Boniface Idindili na Mkurugenzi mkazi wa shirika hilo Mr Luke King.
Mgeni huyu ametembelea Kijiji cha kicheba kuona ugawaji wa kingatiba za matende na Mabusha Jana Tr 9/8/2017!
Mratibu wa Taifa wa NTDs Dr Upendo Mwingira akimtambulisha Bill gates safe ya viongozi na watumishi wa Mkoa wa Tanga,Wilaya ya Muheza,Wadau wa shirika la IMA na Kijiji cha Muheza
Sunday, August 13, 2017
Mwanasheria mkuu mstaaf Mark boman na mkewe wanashukuru mungu kwa kuwawezesha kufikisha miaka 50 ya ndowa yao
Mwanasheria mkuu mstaaf Mark bomani na mkewe wakikata keki ya kutimiza miaka 50 ya ndowa yao
Kuanzia kulia waziri mkuu mstaaf Jaji Warioba,mama bomani,mama warioba,na mwanasheria mkuu mstaaf Mark Bomani
Picha ya familia watoto na wajukuu
Chini Kuanzia kulia mwanasheria mkuu mstaaf Mark bomani,mama rupia,mama siti mwinyi,Rais mstaafu Alhaji mwinyi na mama bomani
Kuanzia kulia waziri mkuu mstaaf Jaji Warioba,mama bomani,mama warioba,na mwanasheria mkuu mstaaf Mark Bomani
Picha ya familia watoto na wajukuu
Subscribe to:
Posts (Atom)