Mwanasheria mkuu mstaaf Mark bomani na mkewe wakikata keki ya kutimiza miaka 50 ya ndowa yao

Chini Kuanzia kulia mwanasheria mkuu mstaaf Mark bomani,mama rupia,mama siti mwinyi,Rais mstaafu Alhaji mwinyi na mama bomani

Kuanzia kulia waziri mkuu mstaaf Jaji Warioba,mama bomani,mama warioba,na mwanasheria mkuu mstaaf Mark Bomani
Picha ya familia watoto na wajukuu
No comments:
Post a Comment