What's Hot

Get Your Website or blog Are you finding a place to design your for your company?
call now...! The slide is a linking image Wadau na viongozi wa Wizara ya Afya Wizara ya afya

Sunday, August 13, 2017

Bill Gates  akiwa na mratibu wa Mpango Dr Upendo Mwingira (Kulia kwake) na Mganga Mkuu wa Mkoa Dr Aisha Mahita na Kaimu Maganga Mkuu wa Muheza!Kushoto kwake ni wadau kutoka Shirika lisilo la kiserikali la IMA world health Dr Boniface Idindili na Mkurugenzi mkazi wa shirika hilo Mr Luke King.
Mgeni huyu ametembelea Kijiji cha kicheba kuona ugawaji wa kingatiba za matende na Mabusha Jana Tr 9/8/2017!
Mratibu wa Taifa wa NTDs Dr Upendo Mwingira akimtambulisha Bill gates safe ya viongozi na watumishi wa Mkoa wa Tanga,Wilaya ya Muheza,Wadau wa shirika la IMA na Kijiji cha Muheza

Bill Gates akisaini kitabu cha wageni!
Walioketi ni mbunge wa Muheza Balozi Rajab Adadi,Mkuu wa Wilaya Eng.Tumbo,Mratibu wa Taifa wa Mpango wa NTD Dr .Upendo Mwingira,Mkurugenzi wa NTD wa Gates foundation Ms Katherine Owen  na mkurugenzi mkaZi wa Shirika la IMA world health-Mr Luke King.

Bill gates akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashari ya Muheza

Mbunge wa Muheza Balozi Rajab Adadi akitoa neno la shukrani Kwa Bill gates na timu yake waliokuja kuona  zoezi ugawaji wa  dawa za matende na Mabusha wilayani Muheza Leo tarehe 9/8/2017!

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews