MWENYEKITI WA BODI YA NATIONAL INSTITUTE OF MEDICAL RESEARCH (NIMR) PROF. MASELLE AKISALIMIANA NA RAIS WA JAMUHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA DR. JAKAYA MSRISHO KIKWETE MARA BAADA YA KUWASILI KWENYE OFISI YA ALMA.
RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUTOKA KWENYE HAFLA YA UFUNGUZI WA OFISI YAAFRICAN LEADERS MALARIA ALLIANCE (ALMA) TANZANIA