Mgeni huyu ametembelea Kijiji cha kicheba kuona ugawaji wa kingatiba za matende na Mabusha Jana Tr 9/8/2017!
Mratibu wa Taifa wa NTDs Dr Upendo Mwingira akimtambulisha Bill gates safe ya viongozi na watumishi wa Mkoa wa Tanga,Wilaya ya Muheza,Wadau wa shirika la IMA na Kijiji cha Muheza
Bill Gates akisaini kitabu cha wageni!
Walioketi ni mbunge wa Muheza Balozi Rajab Adadi,Mkuu wa Wilaya Eng.Tumbo,Mratibu wa Taifa wa Mpango wa NTD Dr .Upendo Mwingira,Mkurugenzi wa NTD wa Gates foundation Ms Katherine Owen na mkurugenzi mkaZi wa Shirika la IMA world health-Mr Luke King.
Bill gates akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashari ya Muheza
No comments:
Post a Comment